DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA KUWEKWA WAKFU ASKOFU MTEULE MWIJAGE MKOANI KAGERA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, January 27, 2024

DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA KUWEKWA WAKFU ASKOFU MTEULE MWIJAGE MKOANI KAGERA

Leo Januari 27, 2024 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anashiriki Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mteule Jovitus Francis Mwijage katika Jimbo Katoliki Bukoba mkoani Kagera. Sherehe zinafanyika katika Uwanja wa Kaitaba, wilayani Bukoba, mkoani humo.

No comments:

Post a Comment