Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (katikati) akikagua miundombinu ya Mawasiliano katika Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, kulia ni Mhandisi wa Jengo hilo Bw. David Shunu na kushoto ni Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bw. Karim Chitenda, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (katikati) akikagua miundombinu ya Mawasiliano katika Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, kulia ni Mhandisi wa Jengo hilo Bw. David Shunu na kushoto ni Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bw. Karim Chitenda, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment