NAIBU WAZIRI MKUU WA CHINA AMALIZA ZIARA YA KIKAZI NCHINI,,AAGWA NA DKT. BITEKO - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, January 24, 2024

NAIBU WAZIRI MKUU WA CHINA AMALIZA ZIARA YA KIKAZI NCHINI,,AAGWA NA DKT. BITEKO


Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong amemaliza ziara ya kikazi ya Siku Tatu nchini Tanzania.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Mhe. Guozhong ameagwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto.Biteko.



No comments:

Post a Comment