Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bi.Ruth Zaipuna mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024. |
No comments:
Post a Comment