Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao maalum kilichohusu uendelezaji wa Makao Makuu Dodoma, Kikao kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi hiyo Dodoma, Tarehe 9 Februari, 2024.
Friday, February 9, 2024
New
DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO MAALUM UENDELEZAJI WA MAKAO MAKUU DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment