MATUKIO KATIKA PICHA ; IBADA MAALUM YA MAOMBOLEZO NA KUAGA MWILI WA HAYATI EDWARD LOWASSA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, February 14, 2024

MATUKIO KATIKA PICHA ; IBADA MAALUM YA MAOMBOLEZO NA KUAGA MWILI WA HAYATI EDWARD LOWASSA


Ibada maalum ya Maombolezo na kuaga mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowassa iliyofanyika katika Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Azania Front tarehe 14 Februari, 2024 Jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment