Viongozi mbalimbali waliofika nyumbani kwa Hayati Edward Lowassa kijijini Ngarash Wilayani Monduli kushiriki katika mazishi yake yanayoongonzwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Leo Tarehe 17 Februari, 2024 Mkoani Arusha
Saturday, February 17, 2024
New
MATUKIO KATIKA PICHA : VIONGOZI MBALIMBALI WAWASILI NYUMBANI KWA HAYATI EDWARD LOWASSA KWA AJILI YA IBADA YA MAZISHI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment