KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAWAPONGEZA WALENGWA WA TASAF KIJIJI CHA IBUMILA KWA KUTEKELEZA MRADI WA SHAMBA LA MATUNDA YA PARACHICHI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, March 13, 2024

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAWAPONGEZA WALENGWA WA TASAF KIJIJI CHA IBUMILA KWA KUTEKELEZA MRADI WA SHAMBA LA MATUNDA YA PARACHICHI

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama akizungumza na walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Ibumula wakati akikagua Mradi wa shamba la matunda ya parachichi na wajumbe wa kamati yake uliotekelezwa na walengwa hao mkoani Iringa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama akielekea kukagua Mradi wa shamba la matunda ya parachichi uliotekelezwa na walengwa wa TASAF mkoa wa Iringa. Watano kutoka kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Wengine ni wajumbe wa kamati hiyo na wananchi wa Kijiji cha Ibumila.
Sehemu ya walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini wanaotekeleza Mradi wa shamba la matunda ya parachichi wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao katika eneo la Ibumila mkoani Iringa.

No comments:

Post a Comment