Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimzikiliza Mkurugenzi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo wakati alipotembelea banda la ofisi hiyo wakati wa maonesho kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” |
No comments:
Post a Comment