MATUKIO KATIKA PICHA OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA APRILI 03 APRILI, 2024 - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, April 3, 2024

MATUKIO KATIKA PICHA OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA APRILI 03 APRILI, 2024

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama akiteta jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi wakati wa Mkutano wa 15 kikao cha pili tarehe 03 Aprili, 2024 Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama akiwasili bungeni katika Mkutano wa 15 kikao cha pili tarehe 03 Aprili, 2024 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga akiwasili bungeni katika Mkutano wa 15 kikao cha pili tarehe 03 Aprili, 2024 Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment