Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (wa tano kutoka kushoto), Naibu waziri wake Mhe. Ummy Nderiananga (kulia kwake), Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulamavu) Mhe. Patrobas Katambi (wa nne kutoka kushoto) Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (wa nne kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na wakuu wa Taasisi za Ofisi hiyo mara baada ya kuwasilishwa kwa Hotuba ya Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025 katika Mkutano wa 15 kikao cha pili Jijini Dodoma.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU) |
No comments:
Post a Comment