Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Sosthenes Kewe, akielezea umuhimu wa Benki hiyo katika kuchochea ukuaji wa Uchumi, wakati wa mkutano kati yake na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na mchango wake katika maendeleo ya Taifa, uliofanyika Wizara ya Fedha Treasure Square, jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment