KIKOSI CHA STARS CHAITWA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, May 26, 2024

KIKOSI CHA STARS CHAITWA

KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHOJIANDAA NA MCHEZO WA KUFUZU KOMBE LA DUNIA DHIDI YA ZAMBIA




Kikosi cha Tanzania au Taifa stars kilichoitwa kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia.


Wachezaji wa Young Africans na Azam FC watajiunga baada ya fainali ya CRDB Bank Federation Cup unaotarajiwa kuchezwa katika uwanja wa New Amaan Stadium, Zanzibar.


Mechi hiyo itachezwa Juni 2 huku Mgeni rasmi atakuwa ni waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar Tabia Maulid.






No comments:

Post a Comment