Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (MB), akisalimiana na Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Dunia (ITU) Doreen Bogdan-Martin katika sherehe za ufunguzi wa Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya Habari (WSIS) kwa mwaka 2024 (WSIS 2024), tarehe 27 Mei, 2024.
Ushiriki wa Tanzania kwenye mkutano huu ni moja ya jitihada katika kuimarisha mashirikiano yake duniani ili kuongeza tija katika utekelezaji wa miradi ya TEHAMA na pia kukabiliana na changamoto mbalimbali zinakuja sambamba na ukuaji wa TEHAMA.
No comments:
Post a Comment