Mchezaji na kiungo mkabaji Yusuph Kagoma amejiunga na Simba Sc akitokea Singida Fountain Gate ya Mwanza kwa mkataba wa miaka miwili.
Kiungo huyo amewahi kuhudumu kwenye kikosi cha Geita Gold FC kabla ya kujiunga na Singida Fountain Gate FC, Gwambina FC pia Singida United FC.
Yusuph Kagoma alikuwa anahusishwa pia kujiunga na kikosi cha Yanga SC.
#UsajiliNBC
No comments:
Post a Comment