KIKAO KAZI CHA MAAFISA HABARI WA SERIKALI 2024. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, June 20, 2024

KIKAO KAZI CHA MAAFISA HABARI WA SERIKALI 2024.



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Nicholaus Merinyo Mkapa akiongoza kikao cha Utekelezaji wa maazimio ya kikao cha 2023, mafanikio na changamoto za maafisa habari, Mawasiliano na uhusiano wa Serikali na maazimio ya kikao kazi 2024 kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam tarehe 20 Juni, 2024.

#KikaoKaziMaafisaHabariSerikali2024












No comments:

Post a Comment