MAJALIWA AMKARIBISHA ZUHURA YUNUS OFISI YA WAZIRI MKUU - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, June 14, 2024

MAJALIWA AMKARIBISHA ZUHURA YUNUS OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, mara baada ya Zuhura kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika nafasi hiyo jana, Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Zuhura amepandishwa cheo kutoka nafasi yake ya awali ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais.

No comments:

Post a Comment