MKONGWE NA KIJANA WAKE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, June 14, 2024

MKONGWE NA KIJANA WAKE


Mchezaji na Nahodha wa kikosi cha Kagera Sugar David Luhende akiwa na Mchezaji na beki wa kulia wa KMC FC Rahim Shomary wakati ambao timu hizo mbili zilikutana kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC 2023/2024.


Rahim Shomary ni kijana ambaye msimu uliyoisha ndiyo ulikuwa msimu wake wa kwanza kucheza Ligi kuu ya NBC akiwa na kikosi cha KMC FC akitokea Simba SC timu ya Vijana.


Upande wa David Luhende yeye ni mkongwe kwenye Ligi hii kwani amehudumu vilabu mbalimbali ikiwemo Yanga SC.


Pichani ni namna David Luhende pamoja na Rahim Shomary wakiongea kwa Furaha na katika “post” Ya picha hiyo kwenye “Account” ya kijana huyo ameelezea Furaha yake kuendelea kujifunza kutoka kwa Mchezaji huyo kwenye uzoefu mkubwa.




No comments:

Post a Comment