MALOGO ACHUKULIWA NA CAF. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, June 4, 2024

MALOGO ACHUKULIWA NA CAF.



Mwamuzi wa kati Tatu Malogo ameteuliwa na Shirikisho la Soka Tanzania TFF kuhudhuria kozi ya CAF kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya AFCON kwa upande wa wanawake.


Kozi hiyo inayarajiwa kuendeshwa kuanzia June 9 hadi 13 kwa ajili ya michuano hiyo ya AFCON inayotarajia kufanyika nchini Morocco.


Hata hivyo kwa upande mwingine yeye ndiyo mwamuzi pekee kutokea Tanzania aliyechaguliwa.






No comments:

Post a Comment