Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akiongoza kikao kazi kilichojadili kuhusu Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi, masuala mbalimbali kuhusu Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi na utekelezaji wa Sera ya Sera ya Taifa ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), wakati wa kikao kazi na ujumbe wa Ofisi ya Rais, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, ulioongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Bw. Rashid Ally Salim (kushoto), katika Ofisi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Kulia ni Kaimu Kamishna wa Kitengo cha PPP, Bw. Bashiru Taratibu. |
No comments:
Post a Comment