Naitwa Sofia kutoka Nairobi, Kenya, kuna siku nilipigiwa simu asubuhi sana, namba sikuifahamu.
Kumbe ni rafiki yangu wa kitambo nikiwa chuo, yeye alikuwa mrahibu wa dawa za kulevya (teja) pale Kibera.
Nilikuwa kila nilipokuwa nikipita yeye hunivizia nakuniomba fedha kidogo kila siku akidai ya kula, kumbe anaomba ya kununulia kete za unga, yaani dawa za kulevya.
Siku moja niliibiwa simu na teja mwingine eneo hilo hilo, ikabidi kesho yake nimwambie huyo rafiki yangu, nikamuelekeza simu yangu ni aina gani na ikoje.
Basi haikupita hata masaa mengi jamaa akaniletea simu yangu akiongozana na mwizi alienipora simu hiyo.
Akamwamuru “omba msamaha kwa dada na kuanzia leo tumlinde dada yetu asiibiwe chochote maana ndo anaetuweka mjini.” Jamaa akaomba radhi na kuanzia hapo nikawa na watu wawili wananilida kisawa sawa.
Siku moja ikabidi nikae nao kuwahoji kwanini wapo katika hali hiyo ya urahibu wa dawa za kulevya.
Yule rafiki yangu wa mwanzo yeye ni mtoto wa tajiri moja hapa mjini kwao hakuna shida kabisa ila tu ni yeye alijichanganya alipopelekwa UK kusoma ndipo alipoanzia uvutaji madawa ya kulevya ikafikia wakati familia ikamtenga nakutokuwa na imani nae kabisa maana vituko vingi na aliwatia hasara.
Yeye ndo chanzo cha baba yake kupata kiharusi. Mzee wake alimpenda sana mwanae, ukiachana na hayo matukio na vituko vingi, wizi pia ulikithiri kwake, yeye alikua akiiba kwenye familia yake tu nje haibi. Na matukio mengi zaidi aliweza kufanya mpaka yakaikatisha tamaa familia.
Upande wa mwizi aliyenipora simu, yeye alianzia uteja China alikopelekwa kusoma. Huyu alifikia hatua ya kuwa mwizi mtaani, chochote akikikuta anapitia nacho, na yeye familia yake ilikua inajiweza ila kwa hali ya kijana wao alivyokua hasikii wala kushauriki hawakufanya chochote.
Basi hawa ndo walikuja kuwa washikaji zangu wa karibu. Ilininiuma nilivyojua historia zao na jinsi walivyo. Iliniumiza sana lakini namshukuru sana alinipa ujasiri wa kuwa nao karibu hata kujaribu kuwashauri ni namna ipi wafanye kuondokana na hali waliyokuwa nayo.
Haikua rahisi lakini iliwezekana kwa kutumia gharama kidogo niliyokua nayo, nilikubaliana nao nikawapeleka kwa Kiwanga Doctors wakaweza kupatiwa matibabu na kufanyiwa matambiko.
Ndani ya muda mfupi tu, walibadilika na kuwa safi na kupendeza sana.
Mpaka familia zao kwa sasa tumekuwa kama ndugu maana hawakutegemea kama vijana wao ipo siku watabadilika. Walikua wameshakata tamaa na kutokuwa na imani nao kabisa.
Sasa wamerudisha matumaini na nuru kwa washikaji zangu. Na wote kwa sasa wanafamilia zao.
Baada ya kupokea simu akasema ameibiwa gari barabara ya kuelekea Uhuru Garden anataka nimfuate kumsaidia.
Nilinyanyuka kinyonge, kufika kule kumbe hata hajaibiwa gari ila wameniandalia zawadi yeye na mwenzake. Walinitamkia maneno "Wewe ni Mama kwetu japo tuna Mama". Ndipo wakanipa gari hilo.
Kwa simulizi zaidi tembelea tovuti yake www.kiwangadoctors.com au mpigie Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 au +254769404965 ili kupata huduma ya changamoto yoyote unayokutatiza maishani.
No comments:
Post a Comment