Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt.Jim Yonazi Ameongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha Uratibu wa Masuala ya Uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR) tarehe 16 Julai, 2024, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Nchini (TRC) ni Bw. Masanja Kadogosa akizungumza wakati wa kikao cha Makatibu Wakuu cha Uratibu wa Masuala ya Uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR) kilichofanyika Tarehe 16 Julai 2024 katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment