WATAALAM WA HABARI, MAWASILIANO NA MAENDELEO YA JAMII WAPIGWA MSASA PROGRAMU YA GTAP - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, July 16, 2024

WATAALAM WA HABARI, MAWASILIANO NA MAENDELEO YA JAMII WAPIGWA MSASA PROGRAMU YA GTAP



Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imekutana na Wataalam wa Habari na Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara za Kisekta, Taasisi za Serikali, Ofisi za Mikoa ya Arusha, Manyara, Singida, Shinyanga, Mashirika Yasiyo ya Kiserikali pamoja na wadau wa maendeleo kwa lengo la kutoa mafunzo na uelewa wa pamoja juu Mkakati wa Mawasiliano wa Mpango wa Gender Transformative Action Programme (GTAP) Julai 16, 2024 Jijini Arusha.









No comments:

Post a Comment