Mgeni Rasmi katika Kongamano hilo alikuwa Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameshiriki katika Kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya Benjamin Mkapa (BMF) kuhusu Umuhimu wa Uratibu katika Kuendeleza Rasilimali Watu katika Sekta ya Afya. Kongamano hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere International Conference Centre (JNICC) tarehe 30 Julai, 2024 Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment