Jina langu ni Joshua, kuna siku ilikuwa usiku kama saa sita hivi, mimi naendesha zangu Bodaboda yangu kurudi kijiweni ambapo huwa napaki siku zote kwa ajili ya kusubiria abaria wanaenda maeneo mbalimbali.
Baada ya hatua chache nikasimamishwa msichana ambaye alikuwa amevalia sare kama za wahudumu wa Baa, sketi nyeusi na shati jeupe na tai ndogo shingoni.
Alinisimamisha akiniomba nimpeleke sehemu, na mi mi sikusita nikampakiza kumpeleka. Mvua zilikuwa zimenyesha hivyo barabara alikonielekeza huyo abiria wangu kwamba ndo nyumbani kwake kulikuwa na madimbwi kadhaa ya maji.
Nilipowasha taa ya pili niliona watu kama watatu hivi wamesimama mbele, wamefunika nyuso zao wamesimama pembezoni mwa barabara na kuacha dimbwi katikati. Wawili walikuwa wameshika nondo na mwingine ameshika panga.
Nilivyoona hivyo nikamwambia abiria wangu ashike vizuri, nikaamua kupitisha pikipiki katikati ya maji, ile nakaribia kumaliza dimbwi, wale jamaa wakawa wananifukuza kwa nyuma ila hawakunipata.
Nikasikia wanaambizana, "achana naye huyo".
Niliposogea mbele kidogo yule abiria wangu akasema, nishushe hapa huku akicheka cheka na kujisemesha, Wewe kaka muoga wewe, ila una bahati", kumbe alikuwa amepanga nao njama.
Wakati nasimamisha Bodaboda kumshusha yule abiria, ghafla kundi lingine la watu waliofunika nyuso zao walinivamia na kunipora pikipiki yangu na kunipiga na kuniumiza vibaya.
Nalisalia katika eneo lile hadi asubuhi huku nikivuja damu, wapita nja walikuja kunichukua na kunipeleka hospitali ambapo nililazwa kwa wiki mbili nikipatiwa matibabu.
Baada ya kupata nafuhu nilirejea nyumbani na kutafakari kwa muda, niliamua kwenda kwa Kiwanga Doctors ili anisaidie kurejesha mali yangu ambayo niliitafuta kwa jasho na damu kisha majambazi wakanipora na kuniumiza.
Kusema kweli nashukuru walinipokea vizuri na kunihudumia vizuri tu na kunihakikishia ndani ya muda mfupi nitaipata Pikipiki yangu na kujua ni kina nani hao ambao walinifanyia unyama huo.
Hazikupita siku nyingi, nikiwa nyumbani niliona kundi la watu wakija nyumbani huko mbele yao wakiwepo vijana sita ambao walikuwa wamezingirwa na siafu hadi kwenye macho.
Kumbe vijana hao ndio waliokuwa wamenipora pikipiki yangu. Walikuwa wakilia sana kwa uchungu maana nyuki wale walikuwa wakiwauma hadi kuvimba miili yao.
Mara moja nilichukua simu na kuwapiga Kiwanga Doctors ambao walitoa maelekezo ya kufanya ikiwa ni pamoja na wezi hao kulipa faini ya Ksh300,000.
Kwa kushirikiana na jamaa wao, waliweza kulipa faini hiyo, kisha adhabu yao ikaondolewa.
Iwapo inahitaji huduma kama hiyo, basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 au +254769404965 au tembelea tovuti yao ambayo ni www.kiwangadoctors.com.
No comments:
Post a Comment