Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, Wananchi, Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali wakati akiwasili Uwanja wa ndege wa Mpanda mkoani Katavi.
Mheshimiwa Rais ameanza ziara yake ya Kikazi mkoani Katavi kuanzia leo tarehe 12-15/07/2024 ambapo atakagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo, pamoja na kuongea na wananchi katika wilaya za mkoa waKatavi.
(Picha na Wizara ya Ujenzi)
No comments:
Post a Comment