Mchezaji na Kiungo mshambuliaji Kassim Haruna "Tiote" 🇹🇿 amejiunga na Fountain Gate Fc akitokea Mtibwa Sugar.
Hata hivyo Kassimu Haruna amewahi kupita vilabu kadhaa ikiwemo Sahare All Stars pamoja na Polisi Tanzania ya Kilimanjaro.
#UsajiliNBC
No comments:
Post a Comment