Kikao cha pamoja kati ya wataalamu kutoka Wizara ya Maji na Wataalamu kutoka Shirika la Kimataifa la Maendeleo la nchini Korea kwa lengo la kuanza utekelezaji wa mradi wa kuboresha uwiano wa mapato ya maji na uboreshaji wa miundombinu ya maji katika mkoa wa Dodoma.
Kikao hicho kimeongozwa na Mkurugenzi msaidizi, Sera na Mipango Bw. Teddy Mwaijumba kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri
No comments:
Post a Comment