MHE. SIMBACHAWENE: TUTAZUIA WATUMISHI KUINGIA OFISINI NA SIMU ZA MKONONI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, August 29, 2024

MHE. SIMBACHAWENE: TUTAZUIA WATUMISHI KUINGIA OFISINI NA SIMU ZA MKONONI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene na akiwa akitoa cheti cha ushiriki wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE kwa Bw. John Mboya katika Hoteli ya Lushgarden jijini Arusha.
Baadhi ya Washiriki wakifuatilia hatuba ya ufungaji wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (Hayupo pichani) katika Hoteli ya Lushgarden jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment