Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Rasmi Tamasha hilo kwa mwaka 2024.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda yupo Mkoani Ruvuma ambapo leo Septemba 23, 2024 ameshiriki sherehe za kuhitimisha Tamasha la Utamaduni 2024.
No comments:
Post a Comment