JAFO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, October 1, 2024

JAFO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India Nchi Tanzania Mhe.Bishwadip Dey na ujumbe wake katika Ofisi ndogo ya Wizara Jijini Dar es Salaam, Septemba 30,2024.

Mazungumzo hayo yamejikita katika ushirikiano wa Kibiashara na uwekezaji baina ya Nchi hizo mbili.



No comments:

Post a Comment