Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amepiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Ahakishaka, Kata ya Nyabiyonza, Karagwe mkoani Kagera, leo Novemba 27,20204.
Bashungwa amepiga kura kuwachagua Mwenyekiti wa kijiji, Mwenyekiti wa Kitongoji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji kundi Mchanganyiko kwa Wanaume na Wanawake pamoja na Wajumbe wa Halmashauri ya kijiji kundi la Wanawake.q
No comments:
Post a Comment