
Bilionea David Mulokozi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mati Super Brands Limited ameanzisha Taasisi ya kusaidia jamii inayomzunguka ikiwemo wahitaji na watu wenye ulemavu ya Mati Foundation ambayo imezinduliwa Rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Babati Emmanuela Kaganda katika makoa makuu ya kampuni hiyo mjini Babati Mkoani Manyara.


No comments:
Post a Comment