ALMASI, DHAHABU YAIPAISHA SHINYANGA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, March 14, 2025

ALMASI, DHAHABU YAIPAISHA SHINYANGA



🎈🎈Yafikia 82% ya lengo ukusanyaji maduhuli

🎈🎈Fursa bado zipo njooni - Mapunda


Na Mwandishi Wetu, Shinyanga


MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Shinyanga yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni 21.5

Mkoa wa Shinyanga ulipangiwa kukusanya Shilingi Bilioni 26.2 ambapo mpaka mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu umefanikiwa kukusanya kiasi hicho cha fedha ambacho ni sawa na asilimia 123 katika kipindi cha miezi nane na asilimia 82 ya lengo la mwaka.

Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Shinyanga, Mjiolojia Daniel Mapunda amesema fedha hizo zimekusanywa kutokana na jitihada mbalimbali walizofanya katika usimamizi wa sekta.

“Mwenendo ni mzuri, hadi kufikia mwisho wa mwaka wa fedha tuna imani tutafikia lengo,” amesema Mapunda.

Aidha, Mapunda ametoa wito kwa wawekezaji kote nchini kuchangamkia fursa za uwekezaji zilizopo katika Sekta ya Madini mkoani Shinyanga ambao una utajiri mkubwa wa madini ya Almasi, Dhahabu na Madini Ujenzi.

“Mkoa wa Shinyanga tuna shughuli mbalimbali za madini ambazo zinajumuisha utafiti, uchimbaji, uchenjuaji na biashara ya madini;…. “Shughuli hizi zinafanyika kwenye wilaya zote mbili, Kishapu na Shinyanga.

“Tuna migodi mikubwa miwili wa kati mmoja na leseni 375 za uchimbaji mdogo na katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/ 2025 tumetoa leseni ndogo za biashara ya madini 51 na leseni kubwa za biashara ya madini 21 amesema Mapunda.

Amesema, pia zipo fursa za uchenjuaji wa madini na kwamba wana jumla ya mitambo 150 ya uchenjuaji katika maeneo yanayosimamiwa na Tume ya Madini katika Wilaya za Kishapu na Shinyanga.

Amesema Mkoa wa Shinyanga una soko kuu la madini moja na vituo vitano vya ununuzi wa madini katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri za wilaya za Shinyanga na Kishapu

Katika hatua nyingine, Mapunda amesema kuwa kutokana na elimu kuhusu wajibu wa wamiliki wa miradi ya madini kuchangia miradi ya maendeleo ya jamii kutolewa mara kwa mara na ofisi yake, matokeo makubwa yameonekana ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa mwamko kwa wachimbaji wadogo wa madini kwenye uchangiaji wa uboreshaji wa huduma za jamii ikiwa ni pamoja na shule na vituo vya afya tofauti na miaka ya nyuma ambapo uchangiaji ulikuwa unafanywa na migodi mikubwa na ya kati tu.

Amefafanua kuwa, jumla ya miradi ya uchimbaji mdogo 21 na miradi ya uchenjuaji mitano imeshirikishwa na kuwekwa kwenye mpango wa uchangiaji wa miradi ya maendeleo ya jamii katika Halmashauri za wilaya za Kishapu na Shinyanga kwa kipindi cha mwaka ujao wa fedha 2025/ 2026.

“ Kwa migodi mikubwa na ya kati katika mkoa wa Shinyanga imeendelea kufanya vizuri katika eneo la ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini ambapo mpaka sasa zaidi ya asilimia 90 ya manunuzi ya bidhaa, vifaa na huduma ni ya ndani tofauti na miaka ya nyuma, amesisitiza Mapunda.








1 comment:

  1. SAFARI YAKO YA MAFANIKIO UTAJIRI NA RIZIKI ZAKO ZIMESIMAMA NA KUZINASUA UWEZE KUSONGA MBELE SOMA KWA UMAKINI UWEZE KUIJUA SIRI HII.

    KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO TUNAPITIA MENGI ILI TUWEZE KUFANIKIWA LAKINI WENGI WETU KUNA MAMBO MACHACHE SANA WENGI WETU TUNAYADHARAU NA KUMBE NDIO CHANZO CHA MAFNIKIO YETU.

    N.B KWA WALE WAHITAJI WA PESA ZA NDAGU au MAJINI kwa mudamfupi nipigie DOKTA MDIRO +255 742162843
    MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA PIA UMBALI POPOTE ULIPO KENYA,UGANDA, OMAN, CONGO RWANDA N.K
    WOTE NAWAKARIBISHA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)

    HAYA NI MAMBO 7 YAKUZINGATIA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFNIKIO

    i) Wazazi wako wakiwa wamekulea mpaka ukawa mkubwa wafumbua macho unawaona akikisha usiwafanye wakajuta kukuzaa asilimia kubwa wazazi wanakuwa na tabu sana ila zile tabu zao ndio zinazokufanya wewe una aminiwa na watu na unaeshimika na kujieshimu

    Kwaiyo jitahidi sana kuwa nao vizuri kuna wengi maisha yao wanaishi kwa shida chanzo ni utofauti baina ya wazazi wao

    Ukiona wazazi wako wanatabu sana usiwajibu vibaya wewe kaa nao mbali ila wape majukumu yao unacho fanya kuwaona nakurudi ulipo apo utaona mambo yako yatakuwa vizuri sana

    ii) JAMBO LA PILI
    Akikisha unatunza uzao wako yani ukijua ni mtoto ni wako basi jitahidi sana kutoa uduma ata kidogo ulicho nacho lakini udumia usiache uzao wako unateseka na njaa wewe una kula maisha aisee fahau

    Kila mtoto wako anavyo kuwa ndio mambo yako yanaaribika usipo udumia kwaiyo ukiwa waitaji kufanikiwa zaidi jali uzao wako

    iii) JAMBO LA TATU
    ukiwa umeoa au umeolewa usitoe talaka au kuomba talaka kabla mwenzio ayupo tayari kwa muda huo fahamu ukiomba talaka au akikupa talaka bila bila sababu ya msingi yeye tu ana matamanio ya kidunia basi anamuda atapoteza muelekeo wa maisha yake

    iv) UKIWA WAPATA PESA
    ukiwa wapata pesa alafu utoi sadaka basi kufikia kwenye ukuu utachelewa sana mana mana pesa badala ya kutoa kwa iyari yako utatoa kwa matatizo kwaiyo jitahidi icho icho kidogo toa sadaka kwa wenye uitaji

    v) USIMZULUMU MTU
    kama wataka kufika mbali kwenye mafanikio yako usimzulumu mtu ata kwa uchache wa kitu usifanye ivyo itakugarimu kiasi kikubwa

    vi) USIZARAH MILA
    ukiwa kwenu kuna mambo ya mila mzimu tambiko jitahidi kufatilia sana aya mambo yanarudisha nyuma sana usipo yawahi mapema

    vii)USIWE WA NAMNA
    1)ikiwa ujafanikiwa jitahidi sana usiwe mvivu kufanya kazi usiwe muhuni usiwe mwenye chuki na asira zisizo za msingi usiwe na tamaa nyoa vizuri vaa nguo za eshima na usiige maisha ya watu.

    KWA MAWSILIANO ZAIDI KUHUSU MATATIZO MBALIMBALI YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA, PETE MALI ZA NDAGU NA MAJINI N.K

    DOKTA MDIRO Call/whatsup +255 742162843.

    ReplyDelete