
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amewachangia Wana Simba wa Tawi la Igoma Mwanza Shilingi Milioni Moja, na mafuta Lita 100 kwa ajili ya safari ya kwenda Dar Es Salaam kuivusha Simba yao kwenda Nusu Fainali
Kupitia ukurasi wa Instagram wa Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally kuna taarifa inasema "Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amewachangia Wana Simba wa Tawi la Igoma Mwanza Shilingi Milioni Moja, na mafuta Lita 100 kwa ajili ya safari ya kwenda Dar Es Salaam kuivusha Simba yao kwenda Nusu Fainali Asante
Mheshimiwa kwa support yako kwa Wana Simba waje kuipambania timu yao iende Nusu Fainali… HII TUNAVUKA,"

No comments:
Post a Comment