
Matukio katika picha kikao cha Kamati Tendaji ya Maandalizi ya Mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya kilichofanyika tarehe 09 Mei, 2025 katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam.





Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na baadhi ya watumishi...
No comments:
Post a Comment