MATUKIO KATIKA PICHA – IBADA YA KUAGA MWILI WA HAYATI CLEOPA MSUYA JIJINI DAR ES SALAAM. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, May 11, 2025

MATUKIO KATIKA PICHA – IBADA YA KUAGA MWILI WA HAYATI CLEOPA MSUYA JIJINI DAR ES SALAAM.



Matukio katika picha wakati wa ibada maalum ya kumuombea na kuaga mwili wa Hayati Cleopa David Msuya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Viwanja vya Karimjee tarehe 11 Mei, 2025 Jijini Dar es Salaam.

Ibada hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Vyama vya Siasa, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Viongozi wa dini,Wakuu wa Taasisi mbalimbali pamoja na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na nje ya mkoa huo.

Hayati Msuya anaatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Usangi Mwanga Mkoani Kilimanjaro tareeh 13 Mei, 2025.
































No comments:

Post a Comment