
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akitoa pole kwa wafiwa msibani kwa Hayati Cleopa Msuya, Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu nyumbani kwake Upanga Jijini Dar es Salaam leo 10 Mei, 2025.





Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekanya ameupongeza Wakala wa Barabara nchini TANROADS mkoa wa Kigoma kwa kumsimamia vizuri mkandara...
No comments:
Post a Comment