WANAWAKE KONDOA WAFANYA MATEMBEZI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, May 31, 2025

WANAWAKE KONDOA WAFANYA MATEMBEZI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT. SAMIA



Wanawake zaidi ya 2,000 kutoka Wilaya ya Kondoa wamefanya matembezi ya kihistoria kuonesha mshikamano na kuunga mkono kazi kubwa na juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Maandamano hayo yalianzia katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kondoa na kuhitimishwa katika Uwanja wa Puma, yakiongozwa kwa ari na mshikamano mkubwa.





No comments:

Post a Comment