MTATURU ACHUKUA FOMU JIMBO LA IKUNGI MASHARIKI. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, June 29, 2025

MTATURU ACHUKUA FOMU JIMBO LA IKUNGI MASHARIKI.



Mbunge wa Singida Mashariki,Miraji Mtaturu amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia jimbo la Ikungi Mashariki.


Jina la Jimbo hilo limetokana na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kubadilisha jina la awali la Singida Mashariki kuwa Ikungi Mashariki na Singida Magharibi kuwa Ikungi Magharibi.


Mtaturu amekabidhiwa fomu hiyo leo Juni 29,2025,na Katibu wa CCM Wilaya ya Ikungi,Joshua Mbwana



No comments:

Post a Comment