
Na Okuly Julius _ DODOMA
Dkt. Fabian Magawa Madele, Afisa Mwandamizi kutoka Ofisi ya Rais Ikulu na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Julai 1,2025 amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, mkoani Dodoma.
Dkt. Madele baada ya kurejesha fomu hiyo na kupokelewa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Dodoma Mjini Sophia Kibaba amesema kazi iliyobaki ni Mamlaka za Chama hicho kukamilisha zoezi la Uchambuzi na kupatikana Mmoja wa kupeperusha bendera ya Chama hicho kupitia Jimbo la Dodoma



No comments:
Post a Comment