BENKI YA NMB YADHAMINI NA KUSHIRIKI KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI WATENDAJI WAKUU TAASISI ZA UMMA. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, August 25, 2025

BENKI YA NMB YADHAMINI NA KUSHIRIKI KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI WATENDAJI WAKUU TAASISI ZA UMMA.


Benki ya NMB imedhamini na kushiriki kwenye Kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma (CEOs Forum
2025) kinachoendelea katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano Arusha (Arusha International Conference Centre).

Ujumbe wa NMB umeongozwa na David Nchimbi - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi pamoja na Juma Kimori - Afisa Mkuu wa Fedha na Kaimu Afisa Mtendaji mkuu.

Kikao kazi hicho cha Siku tatu kinawashirikisha Viongozi zaidi ya Mia Sita Hamsini kutoka Taasisi, Mashirika na Wakala wa Serikali. Kauli mbiu ya Kikao hicho ni “Kujenga Ushirikiano Endelevu katika Mazingira ya Ushindani wa Kimataifa Wajibu wa Mashirika ya Umma



No comments:

Post a Comment