DKT. NCHIMBI ATIA MGUU MWANZA KUOMBA KURA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, August 29, 2025

DKT. NCHIMBI ATIA MGUU MWANZA KUOMBA KURA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU


Na Mwandishi Wetu,Mwanza


Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi amewasili Mkoa wa Mwanza Leo Agosti 29, 2025 kwa ajili ya Kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.

 Balozi Dkt Nchimbi anatarajia kufanya mikutano mbalimbali kwa ajili ya kuzinadi sera pamoja na Ilani ya Uchaguzi ya Chama hicho ya 2025-2030.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeingia siku ya pili za kampeni zake baada ya jana kuzinduliwa rasmi hapo jana jijini Dar es Salaam na Mgombea Urais Dk.Samia Suluhu Hassan

No comments:

Post a Comment