
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar leo Septemba 17, 2025.


No comments:
Post a Comment