DKT. SAMIA AOMBA KURA KWA WANANCHI WA MTWARA MJINI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, September 26, 2025

DKT. SAMIA AOMBA KURA KWA WANANCHI WA MTWARA MJINI



Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuomba kura kwa wananchi wa Mtwara Mjini leo Ijumaa Septemba 26, 2025 kwenye Viwanja vya Saba saba Dkt. Samia anatumia Mikutano yake ya kampeni kueleza pia kuhusu utekelezaji mkubwa wa Ilani ya CCM ya mwaka 2025/26 pamoja na ahadi zake mbalimbali katika kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya sita.

No comments:

Post a Comment