
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mbele ya Umati wa Wananchi na wapigakura wa Mtwara Mjini Mkoani Mtwara kwenye Viwanja vya Sabasaba wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Ijumaa September 26,2025.













No comments:
Post a Comment