
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini leo Ijumaa Septemba 26, 2025 tayari kwaajili ya Mkutano wake wa Kampeni, akitarajiwa kuomba kura na kueleza mafanikio yaliyopatikana kwenye utekelezaji wa Ilani ya 2020/25 chini ya serikali ya awamu ya sita.






No comments:
Post a Comment