
Umati mkubwa wa wananchi wa Mtwara Mjini Mkoani Mtwara wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Sabasaba leo Ijumaa Septemba 26, 2025 kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama tawala, Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyerejea Mkoani humo akitokea Mkoani Lindi.








No comments:
Post a Comment