DKT. SAMIA AOMBA KURA KWA WANANCHI WA MOMBO MKOANI TANGA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, September 30, 2025

DKT. SAMIA AOMBA KURA KWA WANANCHI WA MOMBO MKOANI TANGA



Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuomba kura kwa wananchi wa Mombo Mkoani Tanga kwenye Viwanja vya Stendi Mombo leo Jumanne Septemba 30, 2025 kwenye muendelezo wa Kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Dkt. Samia anaelekea Mkoani Kilimanjaro, akitarajiwa kuwa na Mikutano Miwili kwenye Wilaya za Same na Mwanga hii leo.




No comments:

Post a Comment