
Maelfu ya wananchi wa Mji wa Iringa leo Jumapili Septemba 07, 2025 wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uwanja wa michezo wa Samora Mjini Iringa. Jana Jumamosi Dkt. Samia aliingia Mkoani Iringa ambapo pamoja na mambo mengine alikuwa na mikutano ya kampeni Mufindi, Mafinga na Kalenga.












No comments:
Post a Comment